Uzinduzi wa Taarifa ya Maendeleo ya Sekta ya Nishati kwa Mwaka 2023/2024.

  • Home |
  • Uzinduzi wa Taarifa ya Maendeleo ya Sekta ya Nishati kwa Mwaka 2023/2024.
  • April 9, 2025

TZLPGA ilipata fursa ya kushiriki katika hafla ya uzinduzi wa taarifa ya maendeleo ya Sekta ya Nishati kwa mwaka 2023/2024 iliyoandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA) iliyofanyika tarehe 9/04/2025 Dodoma.

Kwa niaba ya wadau wa sekta ya LPG, TZLPGA iliwasilisha taarifa ya maendeleo, changamoto, fursa, na taarifa ya hali ya usalama ilivyo mpaka sasa.

Pia, iliwasilisha taarifa inayotambua na kushukuru mchango wa serikali na sekta binafsi katika kukuza matumizi ya nishati safi nchini.

Leave A Comment

Fields (*) Mark are Required