WIKI YA GESI (LPG) Oktoba 12 – 16, 2026

Katika kuadhimisha Wiki ya LPG 2026, TZLPGA ilishiriki katika kipindi maalumu kilichorushwa kupitia ITV Tanzania, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali yanayoikabili sekta ya LPG nchini. Kipindi hicho kiliwakutanisha wadau muhimu wa sekta, wakiwemo watumiaji wa LPG kwa matumizi ya taasisi pamoja na Wakala wa Vipimo (WMA), kujadili masuala ya usalama wa matumizi ya LPG, […]