Uzinduzi wa Taarifa ya Maendeleo ya Sekta ya Nishati kwa Mwaka 2023/2024.
TZLPGA ilipata fursa ya kushiriki katika hafla ya uzinduzi wa taarifa ya maendeleo ya Sekta ya Nishati kwa mwaka 2023/2024 iliyoandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA) iliyofanyika tarehe 9/04/2025 Dodoma. Kwa niaba ya wadau wa sekta ya LPG, TZLPGA iliwasilisha taarifa ya maendeleo, changamoto, fursa, na taarifa ya hali […]
Read More